We aim at leveraging on the strength of youth-led CSO’s & NGO’s

Ajenda ya Vijana (Ajenda ya Vijana) aims to play a major role in expanding and protecting civic spaces by bringing youth and women into the political sphere and mobilizing a range of popular voices to address governments on issues of interest.

Mission

We are working to consolidate youth democratic participation in Tanzania by rallying the youth wings of political and civil societies, and youth stakeholders to work together with the government and development communities to respond to the crosscutting challenges facing youth in democracy and governance in Tanzania.

The Consortium Members

Our Stories

Tumefikia wapi katika kushirikisha vijana katika masuala ya uraia?

Kwa mujibu wa sera ya Taifa ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007, kijana Tanzania ni mtu mwenye umri wa kuanza miaka 15 hadi miaka 35. Na kwa mujibu  wa katiba ili kupiga kura mtanzania lazima awe na umri kuanzia miaka 18. Suala la vijana kushiriki katika shughuli za kiraia kunajumiisha  vijana kutambua majukumu yao

Sababu 5 kwanini Vijana wajitokeze kwa wingi zaidi uchaguzi 2020?

Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, hivyo ifikapo mwezi Oktoba raia wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura watapata nafasi ya kuchagua viongozi wanaoamini watasimamia serikali kwa misingi ya utawala bora. Hata hivyo vijana wapo hatarini kutojitokeza kushirki katikai zoezi hili kwa ukamilifu. Hii inatokana na kwamba vijana wengi hawana

Kwanini vijana hawajitokezi kupiga kura?

Vijana wamekuwa mstari wa mwisho katika kushiriki kwenye shughuli za kiraia hasa katika zoezi zima la upigaji kura. Wakati huo huo tunatambua kwamba ili kuleta maendeleo raia wanajukumu la kulinda maadili ya umma na kufanya mabadiliko muhimu katika jamii na kwa taifa zima. Kunapokuwa na mtengano katika ushiriki wa shughuli za kiraia kwa kundi kubwa

Our ongoing activities depends on your helping handssome great pleasure. To take a trivial example, which of us ever undertakes laborious physical exercise, except to obtain some advantage

en_USEnglish
swSwahili en_USEnglish